Utabiri wa hali ya hewa Novemba 22, 2020 'MVUA INATARAJIWA'

 Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku wa leo Novemba 22,2020 unaoletwa na mchambuzi Akili Mwangaza kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA).

 

Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Herwa Tanzania (TMA), vipindi vya mvua vinatarajiwa kuendelea katika maeneo mengi ya nchi.

Post a Comment

0 Comments