LIVE: Simba sc VS Ihefu FC 'MpambanoMkali'

 Huu ni mtanange wa Ligi Kuu Tanzania Bara baina ya Wekundu wa Msimbazi, Simba SC na vijana wa Ihefu FC mzunguko wa pili. Haya ni matangazo ya moja kwa moja kutoka dimba la Benjamin Mkapa lililopo Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam.


Post a Comment

0 Comments