Mahafali ya 16 Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar yafana

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, Makamu wa Pili wa Rais Mstaafu, Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, Spika wa Baraza la Wawakilishi, Mhe. Zuberi Ali Maulid, Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee na Naibu Spika, Mhe Mgeni Hassan Juma, wakifuatilia hotuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya Mahafali ya 16 ya SUZA yaliyofanyika leo Desemba 30, 2020 katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi ametawazwa kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) na Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Ndg. Mwita Mgeni Mwita na (kulia kwa Rais) Makamu Mkuu wa Chuo Dkt.Zakia Mohamed Abubakar, hafla hiyo imefanyika wakati wa Mahafali ya 16 ya SUZA yaliofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Unguja leo.Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) wakishangilia wakati Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiwahutubia katika hafla ya Mahafali ya 16 ya SUZA yaliofanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein Tunguu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, akimtunuku Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa Katika Sayansi za Tiba Rais Mstaaf wa Zanzibar Awamu ya Saba Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, katika Mahafali ya 16 ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) yaliofanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein Tunguu leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, akimtunuku Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa Katika Sayansi za Tiba Rais Mstaaf wa Zanzibar Awamu ya Saba Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, katika Mahafali ya 16 ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) yaliofanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein Tunguu leo.
Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) wakishangilia wakati Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiwahutubia katika hafla ya Mahafali ya 16 ya SUZA yaliofanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein Tunguu.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wa hafla ya Mahafali ya 16 ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Unguja leo.

Wahitimu wa Shahada ya Uzamili ya Sayansi ya Kemia wakitunukiwa Shahada ya Uzamili na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa hafla ya Mahafali ya 16 ya SUZA yaliofanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Unguja.
Wahitimu wa Shahada ya Uzamili ya Sayansi ya Usimamizi wa Mali ya Asili na Mabadiliko ya Tabia Nchi wakitunukiwa Shahada yao na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa mahafali ya 16 ya SUZA yaliofanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Unguja.
Wahitimu wa Shahada ya Kwanza ya Benki na Fedha wakitunukiwa Shahada yao na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe .Dk, Hussein Ali Mwinyi wakati wa Mahafali ya 16 ya SUZA yaliofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Unguja leo.
Wahitimu wa Shahada ya Usimamizi wa wa Teknolojia ya Habari wakishangilia wakati wa kutunukiwa Shahada yao na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA ) ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa hafla ya Mahafali ya 16 ya SUZA yaliofanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Unguja. (Picha zote na Ikulu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news