Mchangani FC vs Taifa Jang’ombe kuchuana kesho

Bodi ya Ligi Kuu Zanzibar (ZFF) imeuhairisha mchezo namba 30 kati ya Mchangani FC dhidi ya Taifa Jang’ombe wa Ligi Daraja la Kwanza Kanda ya Unguja uliopangwa kuchezwa leo katika Uwanja wa Mchangani
Sababu za kuhairisha mchezo huo ni timu ya Mchangani FC kupata msiba. Hivyo mchezo huo utachezwa kesho Januari 26, 2021 katika Uwanja wa Mchangani, Wilaya ya Kati.

Post a Comment

0 Comments