Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa Best Political Leader of the Year 2020 Africa

Watanzania tunafaa kuonesha uzalendo kwa kumpigia kura Rais Mheshimiwa Dkt.Jonh Pombe Joseph Magufuli ashinde kwa kishindo katika kinyang'anyiro hiki cha kiongozi wa kisiasa wa Afrika wa mwaka.
Rais Magufuli anashindanishwa na Marais wa Afrika Kusini, Senegal na Ghana
Japo Magufuli anaongoza, lakini kura yako ni muhimu sana, bonyeza hapo chini.
African Political Leader of The Year

 Post a Comment

0 Comments