Magazeti leo Mei 21,2026

Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imefanikiwa kujenga kilometa 1,495.45 za barabara kwa kiwango cha lami pamoja na madaraja makubwa 18 ndani ya kipindi cha miaka mitano, hatua iliyoelezwa kuwa mafanikio makubwa katika sekta ya miundombinu nchini.
Mafanikio hayo yameelezwa Jumatano Mei 20, 2026 bungeni jijini Dodoma na Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega wakati akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa fedha 2026/2027.

Waziri Ulega amesema mtandao wa barabara za kitaifa unaosimamiwa na Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) umefikia kilometa 37,734.41, ambapo kati ya hizo kilometa 12,225.26 zimejengwa kwa kiwango cha lami.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here