Simba SC wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya TRA United katika mchezo wa kuisaka tiketi ya kufuzu nusu fainali ya CRDB Federation Cup uliopigwa kwenye dimba la KMC Complex, Dar es Salaam.
Mabao ya Simba yamefungwa na Clatous Chama dakika ya 6, Anicet Oura dakika ya 26, Seleman Mwalimu dakika ya 64, pamoja na Bashir Kibaila dakika ya 78.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo

























