BREAKING NEWS: Mwandishi wa ITV/RadioOne Vedasto Msungu afariki dunia

Mwandishi wa ITV na Radio One Stereo, Vedasto Msungu amefariki dunia leo saa 11 jioni Jumatano Februari 17,2021 wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro.  SIKILIZA LIVE HAPO CHINI

Post a Comment

0 Comments