Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan aongoza maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Taifa kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyoadhimishwa leo Machi 8,2021 katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam, ambapo Ujumbe wa Mwaka huu ni Wanawake katika Uongozi, Chachu kufikia Dunia yenye Usawa.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Tuzo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Wasafi Media, Abdul Nasibu (Diamond) kwa kutambua mchango wake wa hali na mali kuchangia shughuli mbalimbali za Maendeleo ya Wanawake na Jamii kwa Ujumla wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yalidhizimishwa leo Machi 8,2021 katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam, ambapo Ujumbe wa Mwaka huu ni Wanawake katika Uongozi, Chachu kufikia Dunia yenye Usawa. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).

Post a Comment

0 Comments