Mandhari ya Barabara ya Shekilango kilomita 3.7 iliyojengwa kwa njia 4

Mandhari ya Barabara ya Shekilango kilomita 3.7 iliyojengwa kwa njia 4, upana mita 22, njia za watembea kwa miguu, taa za kisasa, mitaro ya maji na bustani ili kupunguza msongamano wa magari kuanzia maungio ya barabara ya Morogoro na kupita mitaa yote ya Sinza mpaka maungio ya barabara ya Ali Hassan Mwinyi mkoani Dar es Salaam ikiwa inapendeza mara baada ya ujenzi wake kukamilika. (Picha zote na Ikulu).

Post a Comment

0 Comments