🔴𝐋𝐈𝐕𝐄: Wimbo maalumu wa Lala Salama Rais Magufuli kutoka kwa mastaa wa TANZANIA

Hayati Rais Dkt.John Pombe Joseph Magufuli, aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alifariki dunia Machi 17, 2021 akiwa katika matibabu mkoani Dar es Salaam.

Post a Comment

0 Comments