Spika Ndugai ateta na mabalozi wa Uingereza, Ufaransa jijini Dodoma


Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akifurahia jambo na Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania, Mhe. Frederic Clavier alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai katika picha ya pamoja kwa njia ya kusalimiana na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Mhe. David Concar alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Mhe. David Concar alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania, Mhe. Frederic Clavier alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania, Mhe. Frederic Clavier alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.(Picha na Ofisi ya Bunge).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news