RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA IMF KWA NJIA YA MTANDAO


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula (kulia) na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt.Mwingulu Nchemba (kushoto) wakati akifanya mazungumzo kwa njia ya mtandao (Video Conference) na Mkurungenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha Duniani (IMF), Bi. Kristalina Georgeieva, Ikulu Chamwino jijini Dodoma leo Mei 3,2021. (Picha na Ikulu).
Mtendaji wa Shirika la Fedha Duniani (IMF), Bi. Kristalina Georgeieva.

Post a Comment

0 Comments