WATUMISHI WIZARA YA MALIASILI NA UTALII WASHIRIKI MAANDAMANO YA MEI MOSI JIJINI DODOMA

Baadhi ya watumishi wa Wizara ya Maliasili na Utalii wakiwa kwenya maandamano kuelekea uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma ikiwa ni maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi. (Picha zote na Happyness Shayo-WMU).

Post a Comment

0 Comments