Hawa ndiyo wakuu wa Wilaya za Dar es Salaam walioteuliwa leo

Na Mwandishi Diramakini

Katika uteuzi huo, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameteua wakuu wa wilaya za Mkoa wa Dar es Salaam kama ifuatavyo;

1.Godwin Crydon Gondwe kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni.

2 Ng’wilabuza Ndatwa Ludigija kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala.

3. Jokate Urban Mwegelo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke.

4. Fatma Almas Nyangasa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni.

5.Kherry Denis James kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ubungo.
Ndugu Kherry Denice James kabla ya uteuzi huo pia anahudumu katika nafasi ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana ya Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa.

Post a Comment

0 Comments