Sophia Mjema ateuliwa na wenzake kumwakilisha Rais Samia mkoani Arusha ukuu wa Wilaya

Na Mwandishi Diramakini

Katika uteuzi huo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 19 Juni, 2021 amewateua wafuatao kuwa wakuu wa Wilaya mkoani Arusha;
1. Sophia Edward Mjema kuwa Mkuu wa Wilaya ya Arusha.

2. Eng. Richard Henry Ruyango kuwa Mkuu wa Wilaya ya Arumeru.


3. Raymond Stephen Mangwala kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro.


4. Nurdin Hassan Babu kuwa Mkuu wa Wilaya ya Longido.


5. Frank James Mwaisumbe kuwa Mkuu wa Wilaya ya Monduli.


6. Abbas Juma Kayanda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Karatu.

Post a Comment

0 Comments