Msajili wa Vyama akutana na Uongozi wa TLS


Msajili wa Vyama vya Siasa (RPP), Jaji Francis Mutungi (kulia) akimkaribisha Ofisini kwake Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Prof. Edward Hosea leo jijini Dodoma.
Msajili wa Vyama vya Siasa (RPP), Jaji Francis Mutungi (kulia) akiteta jambo na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Prof. Edward Hosea Ofisi kwake jijini Dodoma leo.
Msajili wa Vyama vya Siasa(RPP), Jaji Francis Mutungi akizungumza jambo wakati wa kikao baina yake na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Prof. Edward Hosea(kulia) aliyeambatana na wadau wa siasa leo jijini Dodoma.
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Prof. Edward Hosea akizungumza wakati wa kikao baina yake na Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi (kushoto) na wadau wa Vyama vya Siasa leo jijini Dodoma.
Makamu wa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Bi.Gloria Kashununu Kalabamu, akichangia hoja wakati wa kikao baina ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi (katikati) na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Prof. Edward Hosea (kulia) leo jijini Dodoma.
Baadhi ya washiriki wa kikao baina ya Msajili wa Vyama vya Siasa(RPP), Jaji Francis Mutungi na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Prof. Edward Hosea pamoja na wadau wa siasa kilichofanyika katika Ofisi za Msajili wa Vyama vya Siasa leo jijini Dodoma.
Msajili wa Vvyama vya Siasa (RPP), Jaji Francis Mutungi (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Prof. Edward Hosea (kushoto) na viongozi wa Vyama vya Siasa mara baada ya kumaliza kikao chao leo jijini Dodoma. (Picha na ORPP).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news