RAIS SAMIA AWASILI JIJINI DODOMA AKITOKEA DAR LEO

Rais Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka, baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma, akitokea jijini Dar es Salaam, leo. (Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments