SPIKA NDUGAI AKUTANA NA VIONGOZI WAKUU WA TAKUKURU JIJINI DODOMA


Spika wa Bunge, Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, CP. Salum Hamduni (katikati) pamoja na Naibu Mkurugenzi wa TAKUKURU, Neema Mwakalyeye walipomtembelea Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Juni 2, 2021
Spika wa Bunge, Job Ndugai (katikati) katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, CP. Salum Hamduni (kulia) pamoja na Naibu Mkurugenzi wa TAKUKURU, Neema Mwakalyeye walipomtembelea Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Juni 2, 2021.
Spika wa Bunge, Job Ndugai (katikati) katika picha ya pamoja na ugeni kutoka TAKUKURU wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, CP. Salum Hamduni (watatu kulia) walipomtembelea Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Juni 2, 2021, Watatu kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa TAKUKURU, Neema Mwakalyeye. (PICHA NA OFISI YA BUNGE).

Post a Comment

0 Comments