WAZIRI UMMY ATANGAZA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2021

Kwa mujibu wa Waziri Ummy Mwalimu, matokeo ya Kidato cha Nne 2020 yanaonesha kuwa Watahiniwa wa Shule waliopata Daraja la I – III walikuwa 153,464 wakiwemo wasichana 67,135 na wavulana 86,329 sawa na asilimia 35.06 ya watahiniwa waliofanya mtihani.

Watahiniwa wa kujitegemea waliofanya mtihani wakiwa chini ya Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) waliofaulu kwa Daraja la I - III ni 479 wakiwemo wasichana 289 na wavulana 190.


 List of students selected to join Form Five (TAMISEMI) Form five Selection 2021):


View Form Five Selection 2021 Below

ARUSHADAR ES SALAAMDODOMA
GEITAIRINGAKAGERA
KATAVIKIGOMAKILIMANJARO
LINDIMANYARAMARA
MBEYAMOROGOROMTWARA
MWANZANJOMBEPWANI
RUKWARUVUMASHINYANGA
SIMIYUSINGIDASONGWE
TABORATANGA


Post a Comment

0 Comments