WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO YAOMBA KUIDHINISHIWA NA BUNGE MAPATO NA MATUMIZI YA TRILIONI 12.9/-


Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akisoma Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara yake ambapo ameliomba Bunge liidhinishie Sh trilioni 12.961 kwa ajili ya matumizi ya kawadia na maendeleo kwa wizara yake. Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akisoma Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara yake ambapo ameliomba Bunge liidhinishie Sh trilioni 12.961 kwa ajili ya matumizi ya kawadia na maendeleo kwa wizara yake.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (kushoto), Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (katikati) na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia mazingira Mhe. Suleiman Jafo (Mb) wakifuatilia mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Fedha na Mipango bungeni Jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akiteta jambo na Naibu Waziri wake, Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni wakati Wizara ya Fedha na Mipango ilipowasilisha Bajeti yake bungeni Jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya waheshimiwa wabunge baada ya kuwasilishwa kwa Bajeti ya Wizara ya Fedha na Mipango ambapo Wizara hiyo imeomba kudhinishiwa kiasi cha Sh tril. 12.96 kwa ajili ya matumizi ya kawaida na maendeleo, Jijini Dodoma. Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akizungumza jambo na Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini, Mhe. Hamisi Taletale, nje ya Jengo la Bunge baada ya kuwasilishwa kwa Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (kulia), akijadiliana jambo na Katibu Mkuu wa Wizira hiyo Bw. Emmanuel Tutuba (katikati) na Naibu Katibu Mkuu Bw. Adolf Ndunguru, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma baada ya kuwasilishwa kwa Bajeti ya Wizara hiyo.

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akiteta jambo na viongozi na baadhi ya Wakuu wa Taasisi nje ya Jengo la Bunge Jijini Dodoma baada ya kuwasilishwa kwa Bajeti ya Wizara hiyo.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), (katikati) akijadiliana jambo na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Khatibu Kazungu (kulia) nje ya Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma. (Picha na Kitengo cha Mawsiliano Serikalini-Wizara ya Fedha na Mipango-Dodoma.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news