ZUCHU HOME COMING NA ZANTEL YAWANOA WASANII WA ZANZIBAR


Meneja wa Chapa wa Zantel, David Maisori akizungumza wakati wa semina kwa wasanii wa muziki visiwani Zanzibar.Tukio hilo ni sehemu ya maandalizi ya tamasha la Zuchu Home Coming na Zantel litakalofanyika siku ya Agosti 21,mwaka huu katika Viwanja vya Amani Zanzibar.Msaanii wa muziki kutoka kundi la Wasafi, Zuhura Othman Soud ‘Zuchu’ pamoja na viongozi mbalimbali wakati wa semina kwa wasanii wa muziki visiwani Zanzibar.Semina hiyo ni sehemu ya maandalizi ya tamasha la Zuchu Home Coming na Zantel litakalofanyika Agosti 21, katika viwanja vya Amani Zanzibar. Wasanii mbalimbali wa muziki kutoka Zanzibar, wakifuatilia kwa umakini semina maalumu juu ya namna bora ya kukuza vipaji vya muziki visiwani humo.Semina hiyo ni sehemu ya Tamasha la Zuchu Home Coming na Zantel litakalofanyika Agosti 21, katika Viwanja vya Amani Zanzibar.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news