CEO wa Asas Group of Companies, Mzee Asas afariki

NA MWANDISHI DIRAMAKINI

Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni za Asas Group, Alhaj Faraj Ahmed Abri amefariki dunia leo IAgosti 13 akiwa mkoani Dar es Salaam.
Mzee Abri ambaye ni baba mzazi wa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Salim Abri Asas anatarajia kuzikwa leo baada ya Sala ya Ijumaa.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka katika familia maziko katika makaburi ya Kisutu mkoani Dar es Salaam.

"Hakika wote ni wana wa Meyenzi Mungu na wote tutarejea kwake. Katika maziko hakutakuwa na mikusanyiko kwa tutakaokuwa Iringa, tafadhali tutumie zaidi teknolojia za habari kutoa pole na shughuli nyingine,"

Uongozi wa Diramakini Blog unawapa pole ndugu, jamaa na Marafiki kwa kuondokewa na mpendwa wao. Mwenyenzi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema. Amen

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news