🔴LIVE: Rais Samia akiwaapisha viongozi mbalimbali wateule leo Agosti 21,2021

 Haya ni matangazo ya moja kwa moja ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan anawaapisha viongozi wateule wafuatao:-


1. Prof. Elisante Ole Gabriel kuwa Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania.

2. Balozi Mteule Lt. Jen. Yakub Hassan Mohamed kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Uturuki.

3. Balozi Mteule Mahmoud Thabit Kombo kuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia.

4. Balozi Mteule Elsie Sia Kanza kuwa Balozi wa Tanzania nchini Marekani.

Post a Comment

0 Comments