Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 25, 2026

Soma habari zote muhimu leo Oktoba 25, 2026 kutoka katika magazeti makubwa ya Tanzania kama Mwananchi, HabariLeo, Nipashe, Zanzibar Leo, Mzalendo, Mwanaspoti, Nyakati na mengineyo kila siku bila malipo.
MWANANCHI leo Jumapili, Oktoba 25, 2026 ukurasa wa mbele habari kubwa zilizopewa kipaumbele ni Chadema: Tundu Lissu atagoma kula, Uganda yasifia ajenda ya Samia kuhusu afya, Bima ya afya kwa wafungwa, mahabusu yaja na TEC yaitisha misa kuwaombea waliokufa, kupotea Oktoba 29. 
MWANASPOTI leo Jumapili, Oktoba 25, 2026 ukurasa wa mbele habari kubwa zilizopewa kipaumbele ni TWENDENI MAKUNDI WANA, EL CLASICO KINAPIGWA, YANGA SC NGOMA NGUMU, MANQOBA MMMH!, AZAM YAWEKA REKODI CAF na EPL LEO JUMAPILI: MAN UTD vs BOURNEMOUTH...SAA 11:00 JIONI. Zaidi Soma ndani ya Mwanaspoti leo.
MZALENDO leo Jumapili Oktoba 25-31, 2026 ukurasa wa mbele habari kubwa zilizopewa kipaumbele ni Ma-RC mguu sawa bima afya kwa wote, Chatanda atamba CCM haiyumbishwi, JIANDAENI KUACHANA NA VOCHA ZA KUKWANGUA, MSISEME MMESHITUKIZWA, Wazazi epukeni kugombana mbele ya watoto na Watu saba hawajulikani walipo baada ya kuporomoka ghorofa. Zaidi Soma ndani ya Mzalendo leo.

MZALENDO MICHEZO leo Jumapili Oktoba 25 - 31, 2026 ukurasa wa mbele habari kubwa zilizopewa kipaumbele ni Yanga Maji kupwa, Maji kujaa, Simba mguu sawa kutikisa CAFCL leo, Azam FC ni rekodi Afrika, Barca, Real Madrid hapatoshe na Mayweather, Tyson mambo safi. Zaidi Soma ndani ya Mzalendo Michezo leo.
ZANZIBAR LEO leo Jumapili, 25 OKTOBA, 2026 ukurasa wa mbele habari kubwa zilizopewa kipaumbele ni Dk. Mwinyi safarini nchini Korea, Kutangzwa bidhaa za Tanzania kutachochea uchumi - Dk. Mwinyi, Ni wajibu serikali, sekta binafsi kushirikiana - Othman, Kamati ya Bunge yataka kasi zaidi ujenzi wa barabara za AFCON Arusha na Alhaj Hemed aongoza dua ya kumuombea mama Fatma Karume. Zaidi Soma ndani ya Zanzibar Leo leo.

ZANZIBAR LEO MICHEZO leo Jumapili 25 Oktoba, 2026 ukurasa wa mbele habari kubwa zilizopewa kipaumbele ni TRA United yaibana Yanga SC, Azam FC yatinga makundi CAFCC, Simba SC, Singida BS vitani CAF na BASSF yazidi kuwakomalia wapiga rusha roho. Zaidi Soma ndani ya Zanzibar Leo Michezo leo.
HABARILEO leo Jumapili, Oktoba 25, 2026 ukurasa wa mbele habari kubwa zilizopewa kipaumbele ni Simu sasa zageuka mtego wa madeni, Kuchanganya pombe, vinywaji vya nguvu hatari, 'BIMA YA AFYA KWA WOTE IWE AJENDA YA KUDUMU', WIVU WA MAPENZI WATAJWA MAUAJI YA WANANDOA na SERIKALI KUSAFIRISHA MAKASHA 1,000 KWA SGR KILA SIKU. Zaidi Soma ndani ya Habarileo leo.

HABARI LEO MICHEZO leo Jumapili, Oktoba 25, 2026 ukurasa wa mbele habari kubwa zilizopewa kipaumbele ni Yanga yabanwa mbavu Arusha, Nado aipeleka Azam makundi, MAMELODI YAVULIWA UBINGWA AFRIKA, TANZANIA U 15 YAPOKEA KIPIGO AZERBAIJAN na HESABU KALI SINGIDA BS LEO. Zaidi Soma ndani ya Habari Leo Michezo leo.
NIPASHE leo Jumapili, Oktoba 25, 2026 ukurasa wa mbele habari kubwa zilizopewa kipaumbele ni Lissu kuanza mgomo, TEC yaagiza misa maalum kwa waathirika wa Oktoba 29, Siri kwa nini hujichagulii mzazi, 'Asmaha', wimbo uliompatia mtunzi mke na Majaribio ya chanjo ya Ebola yaanza DRC. Zaidi Soma ndani ya Nipashe leo.
NYAKATI leo Jumapili, Oktoba 25, 2026 ukurasa wa mbele habari kubwa zilizopewa kipaumbele ni Mapya ya padre aliyefariki kwa kuangukiwa na msalaba, Mchungaji Kenya akutwa na hatia ya mauaji ya waumini 191 na Kurejea kwa Dola la Rumi na Kiti Namba 666 ndani ya Bunge la Ulaya. Zaidi Soma ndani ya Nyakati leo.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here