Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 26, 2026

Soma habari zote muhimu leo Oktoba 26, 2026 kutoka katika magazeti makubwa ya Tanzania kama Mwananchi, HabariLeo, Nipashe, Zanzibar Leo, Majira, Mwanaspoti, Uhuru na mengineyo kila siku bila malipo.
Rada leo Jumatatu, Oktoba 26, 2026 ukurasa wa mbele habari kubwa zilizopewa kipaumbele ni Timu Nchimbi tishio UVCCM, sakata la sukari 'feki' waasia waipiga serikali mabilioni, lijue Jeshi la Wananchi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na maajabu ya bamia katika matibabu.

Mwananchi leo Jumatatu, Oktoba 26, 2026 ukurasa wa mbele habari kubwa zilizopewa kipaumbele ni ukaguzi wa magari usiku mapya yafichuliwa hatari barabarani, wabeba mizigo hatarini kupata matatizo haya, mikoa 5 yaongoza kwa uhalifu nchini, joto latikisa mvua na upepo waharibu mamia ya nyumba na mradi wa maji ulivyotoa matumaini wananchi dua zao kuchomoza jua.
Uelekeo leo Jumatatu, Oktoba 26, 2026 ukurasa wa mbele habari kubwa zilizopewa kipaumbele ni mapinduzi ya afya nchini Dkt. Samia aingiza kaya 625,000 kwenye bima, Simba yatinga makundi CAFCL na Singida BS nayo yafuzu CAFCC.

Uelekeo Spoti leo Jumatatu, Oktoba 26, 2026 ukurasa wa mbele habari kubwa zilizopewa kipaumbele ni Simba yatinga makundi CAFCL, Dkt. Samia amzawadia kiwanja Saida Kaloli, mrithi wa Manqoba na Tanzania yanyakua nafasi ya tatu mashindano ya kuogelea.
Majira leo Jumatatu, Oktoba 26, 2026 ukurasa wa mbele habari kubwa zilizopewa kipaumbele ni Rais Samia aingiza kaya 625,000 kwenye Bima, Rais Samia kuzindua Mji wa Serikali Mtumba, Mbarawa aipongeza TRC kwa ubunifu, serikali fedha za SGR Makutopora - Tabora zipo, serikali yasisitiza uimarishaji ukusanyaji kodi, serikali yaonya kuhusu maneno ya uchochezi na wataalam wanavyoonya tabia za kingono kwa familia.

Majira Michezo leo Jumatatu, Oktoba 26, 2026 ukurasa wa mbele habari kubwa zilizopewa kipaumbele ni Simba yatinga makundi kwa kishindo CAFCL amchapa 3G De Agosto agregate 9-1, Rais amzawadia kiwanja Saida Karoli na Tanzania ya tatu mashindano ya kuogelea.
Mwanaspoti leo Jumatatu, Oktoba 26, 2026 ukurasa wa mbele habari kubwa zilizopewa kipaumbele ni hawa hapa waitaka Yanga, Manqoba avunja ukimya wanne mtegoni, wasauzi waijaribu Simba, Azam FC yazipiku Simba Yanga SC na Ballon D'Or yabeba mambo matatu.
Nipashe leo Jumatatu, Oktoba 26, 2026 ukurasa wa mbele habari kubwa zilizopewa kipaumbele ni wosia tata wavuruga familia, mama afariki dunia, vijana 1,000 Dar wachunguzwa asilimia 80 wana shida ya akili, ahukumiwa kunyongwa kwa kumuua mtoto wa kambo na maagizo ya Makamu wa Rais yatekelezwa, njia 106 zafunguliwa.

Nipashe Michezo leo Jumatatu, Oktoba 26, 2026 ukurasa wa mbele habari kubwa zilizopewa kipaumbele ni miezi mitatu na siku 14 za Manqoba Yanga, Simba SC waleteni kwenye makundi yatinga kwa kishindo sasa akili zote huko na kivumbi cha Ballon d'Or 2026 leo.
Uhuru leo Jumatatu, Oktoba 26, 2026 ukurasa wa mbele habari kubwa zilizopewa kipaumbele ni Rais Samia kuzindua rasmi mji wa serikali, mambo yanoga SGR Dodoma hadi Tabora, kazi imeanza bima ya afya kwa wote, kuchunga kwakatisha masomo ya watoto 94, Mazrui serikali imejizatiti kuikabili Ebola na maagizo ya Ndejembi yaanza kutekelezwa.

Uhuru Michezo leo Jumatatu, Oktoba 26, 2026 ukurasa wa mbele habari kubwa zilizopewa kipaumbele ni Simba yatinga hatua ya makundi kibabe, Rais Dk. Samia amzawadia kiwanja Saida Karoli, kocha Manqoba awaibua wadau na Ibenge aitaka robo fainali CAFCC.
Habari Leo leo Jumatatu, Oktoba 26, 2026 ukurasa wa mbele habari kubwa zilizopewa kipaumbele ni serikali mguu sawa kukabili El Nino, yakemea upotoshaji kilomita 2,018 za lami zajengwa Awamu ya Sita, mradi maji Ziwa Victoria - Dodoma waiva, Mji wa Serikali kuzinduliwa Oktoba 30 na mke ruksa kukopa kama mume hatunzi familia.

Habari Leo Michezo leo Jumatatu, Oktoba 26, 2026 ukurasa wa mbele habari kubwa zilizopewa kipaumbele ni Simba yatinga makundi kibabe, Manqoba ilikuwa suala la muda tu, olimpiki vijana watakiwa kurudi na medali Senegal na DK Samia amzawadia Saida Karoli kiwanja.
Taifa Tanzania leo Jumatatu, Oktoba 26, 2026 ukurasa wa mbele habari kubwa zilizopewa kipaumbele ni 'Bil 730/- si bajeti ya El Nino' Msigwa asema kipaumbele kilichowekwa ni kulinda maisha, miundombinu na mali, umeme utumike kuinua uchumi - Dk. Homera, Dk. Samia kufungua Mji wa Serikali Mtumba Oktoba 30 na barabara za vijijini zapunguza gharama za usafiri kwa asilimia 75.3.

Taifa Tanzania Michezo leo Jumatatu, Oktoba 26, 2026 ukurasa wa mbele habari kubwa zilizopewa kipaumbele ni ndoto ya ubingwa Afrika chanzo Yanga kumng'oa Manqoba, Tanzania kuandaa michuano ya CAF, uwanja wa Dodoma ukikamilika, imekwisha Simba makundi tena kibabe na kuogelea Tanzania ya tatu Africa Aquatic Zone 3.
Tanzania Leo leo Jumatatu, Oktoba 26, 2026 ukurasa wa mbele habari kubwa zilizopewa kipaumbele ni Samia apasua anga elimu juu, serikali yafafanua makadirio 730b/- za mpango kujiandaa na El Nino, Dkt Samia kuweka historia uzinduzi Mji wa serikali Okt. 30 na Tanzania yataka hatua za dhati kulinda Ziwa Tanganyika.

Spoti Tanzania Leo leo Jumatatu, Oktoba 26, 2026 ukurasa wa mbele habari kubwa zilizopewa kipaumbele ni Simba yaweka rekodi Caf, Bakhresa afunguka Azam FC ikifuzu makundi Caf, Manqoba awaaga wachezaji, aondoka zake Yanga SC na Singida BS wafungukia malengo yao Caf.
zaSpoti leo Jumatatu, Oktoba 26, 2026 ukurasa wa mbele habari kubwa zilizopewa kipaumbele ni Mngqithi atimuliwa Yanga, Simba yatinga kibabe makundi CAFCL, Liverpool yamfungia milango Alexander-Arnold na Ibenge roho kwatu CAFCC.
Zanzibar Leo leo Jumatatu, Oktoba 26, 2026 ukurasa wa mbele habari kubwa zilizopewa kipaumbele ni Hemed aipongeza ZMBF kuimarisha ustawi wa jamii, isaidieni sekta binafsi kukuza mchango maendeleo ya elimu - Othman, aahidi ushirikiano kufanikisha kambi ya matibabu na Obama amkosoa Trump kuhusu vita vya Iran na kupanda kwa gharama ya maisha.
Mwananchi Huru leo Jumatatu, Oktoba 26, 2026 ukurasa wa mbele habari kubwa zilizopewa kipaumbele ni Rais Samia na mapinduzi makubwa sekta ya afya, Aingiza kaya 625,000 kwenye bima, Shilingi 150,000 sasa kulinda familia nzima kwa mwaka, Ni kama vifurushi vya simu unachagua bima kulingana na mfuko wako, Mradi wa kukuza soko la bidhaa za kiikolojia kuneemesha wakulima na Mbarawa aipa kongole TRC kuanzisha kiwanda cha mataruma ya zege.
Raia Mzalendo leo Jumatatu, Oktoba 26, 2026 ukurasa wa mbele habari kubwa zilizopewa kipaumbele ni Waziri Mchengerwa na fahari ya afya Tanzania, Shilingi 150,000 sasa kulinda familia nzima mwaka mzima, Ni kufuatia kuzinduliwa kwa awamu ya pili ya bima ya afya kwa wote, Kaya 625,000 zaingizwa kwenye bima ya afya, Mji wa serikali Mtumba wagharimu shil. bil. 700 Utazinduliwa Oktoba 30 na Rais Dk. Samia, TAWA yasisitiza kumuunga mkono Rais Samia kukuza utalii wa Kaskazini na Msigwa awataka vijana kutumia mitandao ya kijamii kusaka fursa na masoko.
Daima Tanzania leo Jumatatu, Oktoba 26, 2026 ukurasa wa mbele habari kubwa zilizopewa kipaumbele ni Bima afya kwa wote sasa yajumuisha makundi yote, Ni kama vifurushi vya simu unachagua bima kulingana na mfuko wako, Rais Samia aingiza kaya 625,000 kwenye bima awamu ya pili, Mgonjwa sasa kutoka Zahanati hadi Taifa kwa kutumia kadi moja, Homera atangaza mapinduzi ya umeme kwenye vitongoji na Rais Samia kuzindua mji wa Serikali Mtumba Oktoba 30.
Wamachinga leo Jumatatu, Oktoba 26, 2026 ukurasa wa mbele habari kubwa zilizopewa kipaumbele ni Mapinduzi Afya Samia aingiza kaya 625,000 Bima ya Afya, Fahari ya Afya kwa 150,000 kulinda familia nzima mwaka mzima Tanzania yafungua ukurasa mpya Bima ya Afya, Bima ya Afya kwa Wote sasa yajumuisha makundi yote kama vifurushi vya simu chagua Bima kulingana na mfuko wako, kufungua Mji wa Serikali Mtumba mradi huo kukusanya wizara 26 taasisi 11 na kilomita 59 za barabara, Prof. Mbarawa Fedha za SGR Makutopora Tabora zipo changamoto mpango kazi wa mkandarasi, Londo ayataka makampuni kuwajibika kwa jamii katika mikakati ya biashara na TANESCO kuongeza uwezo wa transfoma Kigamboni mradi wafikia asilimia 79.3.

Wamachinga Spoti leo Jumatatu, Oktoba 26, 2026 ukurasa wa mbele habari kubwa zilizopewa kipaumbele ni Simba yatinga makundi CCL kibabe, Miloud atajwa kupewa mikoba Yanga, Kocha Kompany adondoka uwanjani, Bajaber atua Nairobi United na Mgunda azidi kuipasha Namungo.
M Tanzania Leo leo Jumatatu, Oktoba 26, 2026 ukurasa wa mbele habari kubwa zilizopewa kipaumbele ni Mapinduzi makubwa sekta ya Afya, Bima ya afya kwa wote yazinduliwa, Rais Samia aingiza kaya 625,000 kwenye bima kujumuisha makundi yote, Rais Samia kuzindua mji mpya wa serikali Mtumba Oktoba 30, Serikali yatoa maelekezo kumaliza mgogoro wa ardhi Chemba Kiteto, Waziri Homera awasha umeme Tunduru asilimia 97 ya vitongoji vyafikiwa na Mbarawa Trilioni 3.6 za kumalizia SGR kipande cha 3, 4 zipo.
Taifa Kwanza leo Jumatatu, Oktoba 26 - Novemba 2, 2026 ukurasa wa mbele habari kubwa zilizopewa kipaumbele ni Uganda yampongeza Rais Dkt. Samia kuimarisha sekta ya afya, Waziri Mkuu arejea nchini akitoka Marekani, Rais Dkt. Samia aweka msukumo sekta ya Nishati huku washa umeme vitongoji Kichanja Mbuga, Simba yatinga makundi kibabe, Tanzania kunufaika na miradi ya kimkakati na Sheikh Mwaipopo aponda mgomo wa Chadema Tundu Lissu kugoma kula gerezani.

Taifa Kwanza Spoti leo Jumatatu, Oktoba 26, 2026 ukurasa wa mbele habari kubwa zilizopewa kipaumbele ni Simba SC yatinga makundi kibabe yaiondoa 15 De Agosto kwa jumla ya mabao 9-1 na Pablo kocha mpya Yanga.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here