Muuguzi Scholastica Kanje wa Hospitali ya Rufaa Mount Meru azua jambo kuhusu chanjo




Ofisi ya Msajili wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania imeeleza kusikitishwa na kulaani kitendo cha Muunguzi msajiliwa Scholastica Kanje anayefanya kazi Hospitali ya Rufaa ta Mount Meru mkoani Arusha kwa kufanya mizaha katika jambo la Kitaifa la utoaji chanjo ya ugonjwa hatari wa UVIKO 19 ambapo aliigiza kumchoma mteja sindano na ili hali hakumchoma na kusambaza katika mitandao mbalimbali ya kijamii. 

Baraza la Uuguzi na Ukunga ni mamlaka ya kisheria inayosimamia huduma za uuuguzuzi na ukunga chini ya Sheria namba 1 ya mwaka 2010 (The Nursing and Midewifery Act 2010). Hii inaweza kuleta upotoshaji mkubwa na kuzua taharuki kwa wananchi...


Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news