Rais Dkt.Mwinyi ateta na Kamishna Mkuu wa TRA Ikulu jijini Zanzibar


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Kamishna Mkuu wa TRA Tanzania Bw.Alphayo J.Kidata alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar 9-8-2021.(Picha na Ikulu) Rais wa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Kamishna Mkuu wa TRA Tanzania Bw.Alphayo J.Kidata, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar 9-8-2021.(Picha na Ikulu) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Kamishna Mkuu wa TRA Tanzania Bw. Alphayo J.Kidata, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Kamishna Mkuu wa TRA Tanzania Bw. Alphayo J.Kidata,(kulia kwa Rais) pamoja na Ujumbe wake baada ya kumalizika mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news