Rais Samia apokea hati za utambulisho wa MabaloziRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Czech Nchini Mhe. Martin Klepetro, mara baada ya kupokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi Martin Ikulu Jijini Dar es salaam leo Agosti 26,2021.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Jamhuri ya Belarus Nchini Mhe. Pavel Vziatkin Ikulu Jijini Dar es salaam, leo Agosti 26,2021 Ikulu Jijini Dar es salaamRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Jamhuri ya Czech Nchini Mhe. Martin Klepetro, leo Agosti 26,2021 Ikulu Jijini Dar es salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Colombia Nchini Mhe. Monica Greiff Lindo mara baada ya kupokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi Monica Ikulu Jijini Dar es salaam, leo Agosti 26,2021Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Australia Nchini Mhe. Luke Joseph Williams mara Baada ya kupokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi Williams Ikulu Jijini Dar es salaam, leo Agosti 26,2021. (Picha zote na Ikulu).

Post a Comment

0 Comments