Waendesha Mashtaka wa Afrika Mashariki wana jambo lao Agosti 29 hadi Septemba 1,2021


Chama cha Waendesha Mashtaka wa Afrika Mashariki kilianzishwa mwaka 2010 kikiwa na jumla ya wanachama wa nchi tano zikiwapo Tanzania, Rwanda, Burundi, Sudani ya Kusini na Kenya. Hadi kufikia hivi sasa chama hicho kimefanikiwa kuongeza wanachama kutoka nchi nyingine jirani zikiwemo Somalia, Ethiopia, Eritrea, Djibouti, Sudan, Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo, Zambia, Malawi na Msumbiji.

Post a Comment

0 Comments