Jiwe la uzinduzi wa Zahanati ya Magomeni

Kulia ni Diwani wa Kata ya Magomeni Manispaa ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Noordin Butemboa akijadili jambo na baadhi ya viongozi wa chama hicho wakati wakisubiri taratibu zikamilike ili kiongozi wa mbio maalum za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2021,Luteni Josephine Paul Mwambashi aweze kuweka Jiwe la uzinduzi wa Zahanati ya Magomeni.

Post a Comment

0 Comments