Naibu Spika Dkt.Tulia ateta na Mwanasheria Mkuu wa Serikali


Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (kulia) akizungumza na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt. Eliezer Feleshi (kushoto) alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Oktoba 28, 2021, Wapili kulia ni Katibu wa Naibu Spika, Bw. James Sapali na Katibu wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Bi. Sylvia Matiku.
Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson katika picha ya pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt. Eliezer Feleshi alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Oktoba 28, 2021.
Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akimsikiliza Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt. Eliezer Feleshi alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Oktoba 28, 2021.(PICHA NA OFISI YA BUNGE.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news