Spika Ndugai azindua taarifa ya hali ya uwajibikaji kifedha nchini


Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akikata utepe akizindua taarifa ya hali ya uwajibikaji kifedha nchini ulioandaliwa na Taasisi ya Uwajibikaji wa Umma (WAJIBU) tukio lililofanyika leo katika Hoteli ya Morena jijini Dodoma, Oktoba 29, 2021, Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Uwajibikaji wa Umma (WAJIBU), Bw. Ludovick Utouh.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akionyesha kitabu chenye taarifa ya hali ya uwajibikaji kifedha nchini baada ya uzinduzi ulioandaliwa na Taasisi ya Uwajibikaji wa Umma (WAJIBU) tukio lililofanyika leo katika Hoteli ya Morena Jijini Dodoma, Oktoba 29, 2021, Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Uwajibikaji wa Umma (WAJIBU), Bw. Ludovick Utouh. (PICHA NA OFISI YA BUNGE).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news