Waziri Mkuu akagua ukarabati Uwanja wa Majaliwa


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kukagua maendeleo ya ukarabati wa uwanja wa mpira wa miguu wa Majaliwa, uliopo Ruangwa mkoani Lindi.
Muonekano wa uwanja wa mpira wa miguu wa Majaliwa uliopo Ruangwa mkoani Lindi ambao unafanyiwa ukarabati, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliutembelea na kukagua maendeleo ya ukarabati wake Oktoba 26, 2021 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news