Makamu wa Rais Dkt.Mpango ateta na Rais mstaafu Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango, Novemba 5, 2021 amemtembelea na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Kikwete Ofisi kwake Masaki jijini Dar es Salaam.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Kikwete pamoja na mke wa Makamu wa Rais, Mama Mbonimpaye Mpango (wa katikati) mara baada ya kumaliza mazungumzo yao ofisini kwa Dkt. Kikwete Masaki jijini Dar es Salaam.(Picha na OMW).

Post a Comment

0 Comments