Rais Samia afanya uteuzi mpya

NA MWANDISHI MAALUM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Maulid Walad Mwatawala kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Taasisi ya Elimu Tanzania (TET).
RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA SAMIA SULUHU HASSAN. (NA MAKTABA).

Prof. Mwatawala anachukua nafasi ya Prof. Bernadeth Killian ambaye amemaliza muda wake.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Jaffar Haniu ambaye ni Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu kutoka mjini Glasgow, Scotland ameeleza kuwa, uteuzi huo umeanza Oktoba 30, 2021.

Post a Comment

0 Comments