TUME ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29 jana Januari 19, 2026 imekutana na wananchi wa Wilaya ya Temeke kwa lengo la kusikiliza na kupokea maoni na ushauri.
Mazungumzo hayo ya Tume na wananchi yamefanyika Ukumbi wa Iddy Nyundo uliopo katika Halmashauri ya Temeke, jijini Dar es Salaam.
Pia tume imekutana na wananchi wa Wilaya ya Ilala katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kusikiliza ushahidi wao wa matukio hayo.

Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo

















