Spika Ndugai ateta na wajumbe wa Tume ya Utumishi ya Bunge la Nigeria


Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na Wajumbe wa tume ya Utumishi ya Bunge la Nigeria waliomtembela leo katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma, Novemba 4, 2021, Kulia ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson na kushoto ni Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi ya Bunge la Nigeria, Injinia Ahmed Amshi. Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akikambidhi zawadi yenye mfano wa Jengo la Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi ya Bunge la Nigeria, Injinia Ahmed Amshi tukio lililofanyika leo katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma, Novemba 4, 2021.(PICHA NA OFISI YA BUNGE).

Post a Comment

0 Comments