CEO wa Simba SC afunguka kuhusu Kariakoo Derby ya kesho

Derby hiyo ya Kariakoo itapigwa katika dimba la Benjamin Mkapa lililopo Halmashauri ya Manispaa ya Temeke, Dar es Salaam.

CEO wa Klabu ya Simba, Barbara Gonzalez amesema kwenye mchezo kati ya Simba na Yanga hakutakuwa na bango lolote la mdhamini mwenza wa Ligi Kuu, GSM.

“Tunashukuru wadau na wizara husika kwa kutusikiliza, tunasimamia maslahi ya Simba,

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news