🔴 LIVE:Rais Dkt.Mwinyi ana kwa ana na Diaspora leo

 WATCH Tanzania inakualika kushiriki na kufuatilia mazungumzo maalum baina ya Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi na Diaspora yanayofanyika kupitia mtandao wa Zoom leo Disemba 31, 2021 kuanzia saa 10 kamili hadi 12:00 jioni.

Post a Comment

0 Comments