Miaka 60 ya Uhuru, hii ndiyo orodha ya Mawaziri waliyoiongoza TAMISEMI hadi leo

NA MWANDISHI MAALUM

TANZANIA Bara (Tangayika) ilipata Uhuru Desemba 9,1961 ambapo, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyekuwa Waziri Mkuu wa kwanza na aliunda Wizara ya Serikali za Mitaa na kumteua, Mheshimiwa Job Lusinde kuwa Waziri wa kwanza kuongoza wizara hiyo.

Tangu Uhuru hadi leo, baada ya Job Lusinde alifuatiwa na mawaziri 20 ikijumuisha wanawake wanne akiwemo Waziri wa sasa Mheshimiwa Ummy Mwalimu.
Miaka 60 ya Uhuru, Tanzania Imara, kazi iendelee.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news