Miaka 60 ya Uhuru: Serikali ya Awamu ya Sita inatekeleza


Wasanii wa Kikundi cha Burudani cha JKT Ruvu wakitoa Burudani wakati wa Ufunguzi wa Awamu ya Pili ya upanuzi wa Barabara ya New Bagamoyo (Moroco – Mwenge) jijini Dar es Salaam yenye urefu wa kilomita 4.3 l) tarehe 5 Desemba, 2021. PICHA ZOTE NA IKULU).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia kwenye Ufunguzi wa Awamu ya Pili ya upanuzi wa Barabara ya New Bagamoyo (Moroco – Mwenge) Jijini Dar es Salaam yenye urefu wa kilomita 4.3 tarehe 5 Desemba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiondoa Kitambaa kufungua rasmi Awamu ya Pili ya upanuzi wa Barabara ya New Bagamoyo (Moroco – Mwenge) Jijini Dar es Salaam yenye urefu wa kilomita 4.3 tarehe 5 Desemba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikata utepe kufungua rasmi Awamu ya Pili ya upanuzi wa Barabara ya New Bagamoyo (Moroco – Mwenge) Jijini Dar es Salaam yenye urefu wa kilomita 4.3 tarehe 5 Desemba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa na Kitukuu cha Hayati baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere wakati alipomtembelea Mama Maria Nyerere kumjulia hali nyumbani kwake Msasani Jijini Dar es Salaam tarehe 5 Desemba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mama Maria Nyerere wakati alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Msasani Jijini Dar es Salaam tarehe 5 Desemba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mama Anna Mkapa wakati alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 5 Desemba, 2021.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news