Orodha ya kata 214 za awamu ya kwanza zilizopata fedha kwa ajili ya ujenzi wa shule mpya za sekondari

NA MWANDISHI MAALUM

SERIKALI ya Awamu ya Sita chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan imeendelea kuachilia fedha za kutosha kwa ajili ya kuimarisha Sekta ya Elimu nchini.

Mbali na huduma mbalimbali zinazoendelea kutolewa na Serikali ili kuhakikisha kila mtoto wa Kitanzania anapata elimu bora kuanzia elimu ya awali, msingi,sekondari,elimu ya juu na vyuo vikuu, Serikali imekuwa ikisogeza shule karibu na makazi ya wananchi.

Kwa msingi huo, mwendelezo wa mambo mazuri unaendelea, na hii ni orodha ya kata 214 za awamu ya kwanza zilizopata fedha kwa ajili ya ujenzi wa shule mpya za sekondari nchini.

Kwa mujibu wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), kata hizi zimepokea Shilingi Milioni 470 kati ya Shilingi Milioni 600 zilizopangwa kukamilisha ujenzi wa shule hizo.

Je? Kwenye Kata yako ina shule ya Sekondari? Kama hamna angalia hapa kama haipo subiria awamu inayofuata. Lengo ni kujenga shule 1,000 za Sekondari kwenye kata ambazo hazina kabisa Shule ya Sekondari.




Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

1 Comments

Previous Post Next Post

International news