TFF yamtuhumu CEO wa Simba SC kufanya fujo katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Yanga SC

NA MWANDISHI DIRAMAKINI

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limemtuhumu Afisa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba, Barbara Gonzalez kufanya fujo katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya watani wa jadi, Yanga SC.
Ni kupitia mtanange wa Desemba 11,2021 katika dimba la Benjamin Mkapa lililopo Halmashauri ya Manispaa ya Temeke, Dar es Salaam.

Post a Comment

0 Comments