BREAKING NEWS: Basi la Kidia One likitokea Arusha kwenda Dar lapata ajali

NA MWANDISHI DIRAMAKINI

MOJA wapo ya mabasi yanayomilikiwa na Kidia One Express ambalo lilikuwa linatokea Arusha kuelekea jijini Dar es Salaam limepata ajali.

Ajali hiyo imetokea leo Januari 31, 2022 katika maeneo la Kikatiti nje kidogo ya Jiji la Arusha. Mabasi ya kampuni hiyo yamekuwa yakitoa huduma ya usafiri katika maeneo mbalimbali nchini ikiwemo Barabara ya Dar, Mosi hadi Arusha kupitia Bagamoyo.
Sambamba na Dar, Moshi, Arusha kupitia Chalinze. Kwa taarifa zaidi endelea kufuatilia hapa tutakujuza kadri mamlaka husika zitakavyotoa taarifa.Soma hapa kwa kina>>>

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news