🔴LIVE:Simba SC vs Azam FC fainali ya Kombe la Mapinduzi

SIMBA SC walifanikiwa kuingia fainali ya michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kuwachakaza Namungo FC ya mkoani Lindi mabao 2-0 hivi karibuni.
Katika mtanange huo, mabao ya Simba SC yalifungwa na mshambuliaji wa kimataifa wa Rwanda, mzaliwa wa Uganda, Meddie Kagere dakika ya 15 na winga Msenegal, Pape Ousmane Sakho dakika ya 50.

Wekundu hao wa Msimbazi wanakutana na Azam FC ambao waliwatoa mabingwa watetezi, Yanga SC kwa penalti 9-8 kufuatia sare ya 0-0 katika dimba hili la Amaan jijini Zanzibar. Katika mtanange huu lolote linaweza kutokea kwani ni kati ya mitanange migumu na ya kisasi baina ya wawili hawa.

Kikosi cha Azam FCKikosi cha Simba SC

Post a Comment

0 Comments