NECTA yatangaza matokeo ya Kidato cha Nne 2021/2022, QT, Kidato cha Pili na Darasa la Nne

 NA MWANDISHI DIRAMAKINI

BARAZA la Mitihani la Taifa (NECTA) leo Jumamosi, Januari 15, 2022 limetangaza matokeo ya Upimaji wa Kitaifa kidato cha Nne, mitihani iliyofanyika Novemba 2021. 

NECTA pia imetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne, mtihani wa maarifa, kidato cha pili na darasa la nne.

Soma matokeo yote hapa,bofya>>>

Post a Comment

0 Comments