Olengurumo wa THRDC atoa mbinu za kuinua ubora,viwango vya elimu nchini

MRATIBU wa Mtandao wa Kutetea Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Onesmo Olengurumo amesema kuwa,kuna haja ya kuitazama Sekta ya Elimu nchini kwa upana zaidi ili iweze kuwa na matokeo bora.

"Nichukue nafasi hii kuwapongeza Watanzania wote, wanafunzi ambao wamefanya vizuri na kufaulu vizuri kutokana na matokeo yao ya Kidato cha Nne ambayo yametoka pamoja na Serikali kwa ujumla. Kuna jambo la msingi sana ambalo tunapaswa kulifanya, kwanza ni...Tazama video hapa chini;

 





Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news