Prof.Mkumbo aja na ubunifu wa kipekee kwa walimu wa Hisabati jimboni Ubungo

NA MWANDISHI DIRAMAKINI

MBUNGE wa Jimbo la Ubungo mkoani Dar es Salaam, Prof. Kitila Mkumbo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amekuja na ubunifu mpya wa kutambua na kuwapa heshima walimu wa Hisabati.

Kwa mujibu wa Mheshimiwa Prof.Mkumbo, tuzo hiyo mahususi kwa walimu wa Hisabati inatarajiwa kutolewa kesho Januari 29,2022 Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

"Karibuni sana katika hafla hii ya kuwatambua na kuwapa tuzo walimu wetu waliofanikisha wanafunzi kufaulu vizuri katika somo la Hisabati,"ameeleza Prof.Mkumbo.Aidha, mgeni rasmi katika hafla hiyo anatarajiwa kuwa Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia,Prof.Adolf Mkenda.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news