Mhandisi Sanga asaini mikataba ya zaidi ya Bilioni 34/-

NA MWANDISHI MAALUM

KATIBU Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Anthony Sanga akisaini moja ya mikataba sita yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 34.7 inayohusu Sekta ya Maji iliyohusisha kampuni tano ambazo ni M/S PRD Rigs Tanzania Ltd, M/S Equiplus Company Ltd, M/S GF Trucus and Equipments Ltd, Bing Bang Machines and Parts Ltd, na Mantrack Tanzania Ltd.

Mikataba hiyo itahusu; ununuzi wa mitambo ya uchimbaji wa mabwawa na visima, ununuzi wa vifaa vya uchunguzi wa maji chini ya ardhi, mashine za kuchimba miamba pamoja na pampu.

Post a Comment

0 Comments